Advertisements

Monday, August 3, 2015

BALOZI WA MSUMBIJI AFIKA IKULU KUMUAGA RAIS WA ZANZIBAR, DK. SHEIN

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana Balozi wa Msumbiji nchini Tanzania Mhe,Vicente Mebunia Veloso alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa kazi.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Balozi wa Msumbiji nchini Tanzania Mhe,Vicente Mebunia Veloso alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa kazi.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifuatana na Balozi wa Msumbiji nchini Tanzania Mhe,Vicente Mebunia Veloso baada ya mazungumzo yao leo alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kumuaga Rais, [Picha na Ikulu.]

No comments: