Advertisements

Sunday, August 2, 2015

JANUARY MAKAMBA ASHINDA UCHAGUZI WA NDANI YA CCM NA KUWA MGOMBEA WA UBUNGE BUMBULI

Mh January amepewa tena ridhaa ya kuendelea kugombea Jimbo la Bumbuli na wana CCM katika uchaguzi uliofanyika ndani ya chama na Kuibuka kinara kwa kura nyingi na zakishindo dhidi ya wagombea wenzake.
Hivi Ndivyo Matokeo yalivyokuwa

No comments: