Advertisements

Sunday, August 2, 2015

Shukrani toka kwa familia ya Francisca Mwaluli

Kwa niaba ya Francisca Mwaluli na Kwa niaba ya Famila ya Mzee
Benedict Mwaluli wanapenda kutoa shukrani zao za pekee kwenu ndugu 
na jamaa wote wa New England kwa kuwa pamoja nae kwa hali
na mali katika maombolezo ya  msiba wa mpendwa mwanawe
Kevin Linus Kaenga, kwani ni kipindi   kigumu kinachowakabili.

Hana cha kuwalipa  zaidi ya kuomba Mwenyezi Mungu azidishe baraka 
zake kwenu kwa yote mnayotamani. anawashukuruni sana na muzidi 
kuwa na ushirikiano katika kila jambo.
Ahsanteni Sana.

No comments: