Muheshimiwa kataja matatizo mengi sana na kuahidi kuyatafutia ufumbuzi. Cha kushangaza ni kuwa sijui kama anaelewa kuwa matatizo yote aliyoyataja yamesababishwa na serikali ya ccm.
Hotuba ya mgombea wa CCM inasikika zaidi kama imeandikwa na mpinzani. Maswali yote anayouliza ni challenges zinazoikabili CCM, Ajira, huduma mbovu za miundombinu n.k Na hizo si ndio hoja za wapinzani, nadhani CCM itafute namna nzuri zaidi ya ku address hizo challenge than direct questioning wananchi, wananchi are in limbo to switch you with opposition, you need to assure them that you and your party can deliver even though is your party and policies that fail them. Iangaliwe zaidi hiyo strategy yenu, otherwise it doomed to no good.
2 comments:
Muheshimiwa kataja matatizo mengi sana na kuahidi kuyatafutia ufumbuzi. Cha kushangaza ni kuwa sijui kama anaelewa kuwa matatizo yote aliyoyataja yamesababishwa na serikali ya ccm.
Hotuba ya mgombea wa CCM inasikika zaidi kama imeandikwa na mpinzani.
Maswali yote anayouliza ni challenges zinazoikabili CCM, Ajira, huduma mbovu za miundombinu n.k
Na hizo si ndio hoja za wapinzani, nadhani CCM itafute namna nzuri zaidi ya ku address hizo challenge than direct questioning wananchi, wananchi are in limbo to switch you with opposition, you need to assure them that you and your party can deliver even though is your party and policies that fail them.
Iangaliwe zaidi hiyo strategy yenu, otherwise it doomed to no good.
Post a Comment