ANGALIA LIVE NEWS

Monday, August 10, 2015

PICHA: MAELFU YA WAKAZI WA DAR ES SALAAM WAJITOKEZA KUMSINDIKIZA MH. LOWASSA KUCHUKUA FOMU



5 comments:

Anonymous said...

CCM mwaka huu ni byebye mafuriko yameanza upya sasa

Anonymous said...

Hi inanikumbusha yale maandamano ya miaka ya sitini ya kudai uhuru kwa watu wote hapa marekani YALIYOKARABATIWA kwa AMANI kabisa na Mheshimiwa Martin Luther King. Mungu ibariki Tanzania, Mungu mmbariki raisi wetu wa awamu ya Nne na ya Tano, mheshimiwa Edward Ngoyai Lowassa. Mungu yabariki mabadiliko ya nayo to kea Tanzania hivi sasa, yaweze kuelekea kwenye manufaa ya kila mtanzania bila kujali rangi, kabila, wala jinsia. Wasalaam aleikum, bwana Yesu asifiwe

Anonymous said...

Safari ya matumaini ndiyo hiyo Watanzania tunataka mabadiliko ya Amani

Anonymous said...

Ccm ni shiiiiidaaaa

Anonymous said...

Wengi wa hao mashabiki waliondamana hapo Dar ni fukara na masikini wanoishi maisha magumu, kwa hiari yao (city-life mentality by any means necessary), instead of kwenda kulima vijijini. Tatizo ni kwamba Rais wa Tanzania hatachaguliwa na watu wenye njaa wanaoishi jijini Dar, ambao wanataka ufahari(City life) wakati hawana pesa. Wananchi mikoani ambao ni wakulima ndiyo watamchagua Rais by popular vote. That being said, CCM itaibuka mshindi kwa sababu inayo zana kubwa mikoani. Watoka jasho wa Dar mnaweza kuandamana as much as you can, but come October, your sadness shall prevail! Na wewe Anony. wa August 10 @10:14 AM usilete ujinga wa kufananisha struggles za MLK hapa Marekani in the 60's na corrupt culture ya Ukawa/Chadema. MLK didn't bribe his way into political fame as Lowasa did. The civil rights movement was a coherent force with no division or defection among the top leadership. Do you see how the opposition is disintegrating? I studied American History and Politics as an undergraduate here in the USA, and am saddened by your comparison. The civil rights movement in the U.S. is here to stay, whereas Ukawa days are numbered.