Swali: Prof kujiuzuru kwako uenyekiti CUF kunahusishwa na wewe kutumika na CCM kuisambaratisha UKAWA,je ni kweli?
majibu kifupi toka kwa Prof Lipumba.
"...kwanza sijakimbia nyumbani ila nitarudi baada ya wiki moja nipo hapa Kigali nafanya uchunguzi je nijinsi gani Tanzaia inaweza kujifunza toka na maendeleo wanayo yapata Rwanda...
Siwezi kutumika na CCM ila mimi na Dk Slaa na Mbatia tulikutana nyumbani kwangu na kukubaliana kuwa Dk Slaa ndio awe Mgombea urais wa Ukawa
sasa chakushangaza safari hii CCM wanawagombea wawili wa urais mmoja anagombea kwa CCM na mwingine anagombea kwa Ukawa anaitwa Lowasa....wote ni CCM tu...sio wanamageuzi hao...Watanzania wasidanganywe..."
5 comments:
huyu jamaa anazuga hayupo Rwanda labda SA ama UK lakini anadanganya. pia kama ni msafi anatangaza kujiuzuru na kukimbia nchi ni dalili mbaya sana. pia ameshinda kujibu hata kuhuma za kuwa na mkono wa sisiemu matokeo yake anatoa majibu ya kitoto eti kuna wagombea wawili kutoka sisiemu, sijui ana PHD ya wapi? nadhani October ndiyo atahama nchi rasimi na aone kama hizo bil hazitaisha.
Na kwanza anatakiwa kikamatwa na kuwekwa ndani akirejea hapa nchini amehamisha fedha za wananchi huyo. Huu nii umamliki mtupu. Hana jipya anajimaliza mwenyewe..
Mmh! Kila analonena naona halieleweki toka ametangaza kujiuzulu... Hata sijui amekula maharagwe ya wapi huyu profedha yarabi!
Ana point kubwa sana. Kwasababu ya ushahabiki na kutoelewa unamhukumu.
He is TRAITOR. LIPUMBA IS A TRAITOR. NI MSANII PIA
Post a Comment