Advertisements

Monday, August 3, 2015

Rais Kikwete aongoza maadhimisho ya Wiki ya Usalama Barabarani Tanga

Baadhi ya wanafunzi wa shule mbalimbali za mkoa wa Tanga wakiandamana wakati wa sherehe za maadhimisho ya wiki ya nenda kwa usalama barabarani yaliyofanyika kitaifa katika viwanja vya Tangamano jijini Tanga leo (picha na Freddy Maro)
Baadhi ya wanafunzi wa shule mbalimbali za mkoa wa Tanga wakiandamana wakati wa sherehe za maadhimisho ya wiki ya nenda kwa usalama barabarani yaliyofanyika kitaifa katika viwanja vya Tangamano jijini Tanga leo
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizindua stika maalumu zing’aazo zitakazosaidia kupunguza ajali kwakuwa magari makubwa yataonekana kwa mbali na waendesha gari wengine hivyo kuepisha magari kugongana.kulia ni Kamanda Mkuu wa Usalma Barabarani kitaifa Mohamed Mpinga.
Askari wa kikosi cha usalama barabarani akimuonesha Rais Kikwete kidhibiti mwendo cha magari maarufu kama tochi wakati Rais liapotembelea mabanda ya maonyesho wakati wa wiki ya usalama barabarani ilkiyofanyika kitaifa mkoani
Mtoto wa shule ya msingi mjini Tanga Doreen John akitoa maelezo ya matumizi sahihi ya barabara kwa Rais Dkt,Jakaya Mrisho Kikwete wakati Rais alipotembelea mabanda kadhaa ya maonyesho katika viwanja vya Tangamano,mjini Tanga wakati wa maadhimisho ya sherehe ya wiki ya nenda kwa usalama iliyofanyika mkoani Tanga.

No comments: