ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, September 20, 2015

TUJIKUMBUSHE TULIKOTOKA

Tujikumbushe tulikotoka, itakuwa inawajia kila jumamosi na jumapili, tutakuwa tunaweka picha na video za matokeo mbali mbali yaliopita,(zamzni) ikwa mashuleni, kijijini, kazini, michezoni, maghafali mbali mbali, maigizo, nyimbo na picha binafsi. tafadhali tutumie kupitia email tujikumbushetulikotoka@gmail.com vikiambatana na maelezo, ili wasomaji na wadau wa vijimambo tuweze kujikumbusha mambo tuliopitia
Dr. Salmin Amour Juma alipokuwa rais wa zanzibar akiwa na mama Salma Salmin

1 comment:

Anonymous said...

Really? Very interesting