Madj wa Dj Nassa na Dj Maka wakirusha wadau wa Massachusetts na viunga vyake siku ya Jumamosi Novemba 7, 2015 kwenye White Party iliyotia fora na kuweka rekodi ya White Party iliyokua haina kiingilio
Wadau wakiselebuka.
Hajat Kibodya akizima mishumaa kwenye siku yake ya kuzaliwa ilivyofanyika siku ya Jumamosi Novemba 7, 2015 Springfield, massachusetts.
Walimbwende wakiwa katika picha ya pamoja.
Wadau wa pati nyeupe wakipata picha ya pamoja huku rumba likiendelea
7 comments:
Congratulations to all: safi sana, mlipendeza na mlifurahi sana. Huu ni mfano wa upendo, ushirikiano na maendeleo ya Jumuiya zote.- Love you all.
White party kunamtu kavaa kaki mwengine kavaa nyeusi wabongo bwana ukiacha kitenge shida hahahaaa mmependeza wadau msema kweli usichukie.
Pengaza mdogo wangu zainab Lukale
wamependeza wamelazimisha, shapeless
wabongo big nose.
Dada zangu wakitanzania pungezeni unene chapati na maandazi waachieni watoto
Haters๐๐๐, keep hating, white party ilikuwa the bomb, congratulations waandaaji๐๐๐
Post a Comment