Wajumbe wakiwa kwenye ukumbi wa Simba |
Wajumbe wa mkutano ambao ni wana taaluma ya Manunuzi na Ugavi wakifatilia mada kwenye mkutano huo leo. |
Baadhi ya wajumbe wa mkutano wa Manunuzi na Ugavi wakifatilia mada kwenye mkutano huo leo. |
Wajumbe wa mkutano wa mwaka wa PSPTB |
1 comment:
Nyinyi Bodi ya Manunuzi ni WATU WABAYA SANA,wezi wa kupindukia na ndiye kwa makusudi mazima mnaiharibu nchi na serikali yake kwa kusababisha kwa makusudi kupanda mno kwa bei za manunuzi ya vyombo na vifaa tendea kazi vya serikali.mheshimiwa Magufuli amekwisha ligundua hili mapema na mimi naona dawa ni kuvunja bodi na kuanzisha mfumo mpya SIMPLE AND CLEAR.niwape mfano wa ubaya wenu.tenda mkiitangaza inapitia ngazi 18 narudia 18 ili mmpatie mzabuni.hiyo ni kama miezi sita.upuuzi gani huu kama si mlengo wa rushwa na kuharibu nchi.gari mpya toyota land-cruiser toka japan inauzwa [incuding c&f]kwa dollar alfu tisini,nyinyi mnampitisha mzabuni kwa dollar 160,000.wizi mtupu.hivi kweli nyinyi bodi mna huruma na nchi yenu?yaani bodi nzima ni wahujumu uchumi wakubwa na tunamuomba mheshimiwa sasa aendelee na nyiny
Post a Comment