Nadir katika picha ya pamoja na familia yake hii ilikua siku ya Jumapili Desemba 20, 2015 siku maalumu kwa darasa lake lilipo kabidhi nondo kwa wanafunzi walio hitimu Criminology and Criminal Justice.
Nadir na wazazi wake siku ya Jumamosi Desemba 19, 2015 kwenye sherehe za mahafali ya chuo chote cha Maryland.
Nadir akiwa na wadogo zake.
Picha ya pamoja ya ndugu, jamaa na marafiki siku ya Jumapili.
Wanafamilia, ndugu na marafiki wakijipongeza kwenye magahawa.
Nadir na wanafamilia.
Nadir na familia yake wakiwa katika picha ya pamoja.









1 comment:
Go terps, Hongera sana - Mimi mwanafunzi wa zamani wa UMD at College Park.
Post a Comment