Waziri wa Mambo ya
Ndani ya Nchi, Charles Kitwanga (kushoto) akimsalimia Mkuu wa Jeshi la Zimamoto
na Uokoaji, Kamishna Jenerali, Pius Nyambacha wakati alipowasili Makao Makuu ya
Jeshi hilo, Mtaa wa Lumumba jijini Dar es Salaam leo kwa ajili ya ziara ya
kikazi. Katika ziara hiyo, Waziri Kitwanga aliliagiza Jeshi hilo kumchukulia
hatua kali za kisheria kwa yeyote atakaye kiuka kulipisha gari la Zimamoto na
Uokoaji wakati linaenda katika tukio lolote la uokoaji pamoja na kuzima moto.
Pia aliitaka Jeshi hilo kuongeza kasi ya kukusanya mapato katika vyanzo vyake
mbalimbali. Picha zote na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Mkuu wa Jeshi la
Zimamoto na Uokoaji, Kamishna Jenerali, Pius Nyambacha (kushoto) akitoa taarifa
ya utendaji wa Jeshi lake Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles Kitwanga
wakati Waziri huyo alipofanya ziara ya kikazi Makao Makuu ya Jeshi hilo, jijini
Dar es Salaam. Katika hotuba yake, Waziri Kitwanga aliliagiza Jeshi hilo
kumchukulia hatua kali za kisheria kwa yeyote atakaye kiuka kulipisha gari la
Zimamoto na Uokoaji wakati linaenda katika tukio lolote la uokoaji pamoja na
kuzima moto. Pia aliitaka Jeshi hilo kuongeza kasi ya kukusanya mapato katika
vyanzo vyake mbalimbali.
Waziri wa Mambo ya
Ndani ya Nchi, Charles Kitwanga akizungumza na Makamanda wa Jeshi la Zimamoto
na Uokoaji wakiongozwa na Kamishna Jenerali,
Pius Nyambacha (kulia kwa Waziri) wakati Waziri huyo alipofanya ziara Makao
Makuu ya Jeshi hilo, Mtaa wa Lumumba jijini Dar es Salaam leo. Katika ziara
hiyo, Waziri Kitwanga aliliagiza Jeshi hilo kumchukulia hatua kali za kisheria
kwa yeyote atakaye kiuka kulipisha gari la Zimamoto na Uokoaji wakati linaenda
katika tukio lolote la uokoaji pamoja na kuzima moto. Pia aliitaka Jeshi hilo
kuongeza kasi ya kukusanya mapato katika vyanzo vyake mbalimbali.
Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Mkufunzi wa Masuala ya Majanga wa Jeshi la Zimamoto na
Uokoaji, Christopher Marwa (kulia) akimwonyesha Waziri wa Mambo ya Ndani,
Charles Kitwanga (katikati), gari lenye vifaa mbalimbali vya uokozi alipofanya
ziara makao makuu ya jeshi hilo jijini Dar es Salaam.
Waziri
wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles Kitwanga akizungumza waandishi wa habari
mara baada ya kumaliza ziara yake katika Kituo cha Jeshi la Zimamoto na Uokoaji
Kanda ya Ilala, jijini Dar es Salaam. Katika hotuba yake kwa waandishi hao wa
habari, Waziri Kitwanga aliliagiza Jeshi hilo kumchukulia hatua kali za
kisheria kwa mtu yeyote atakaye kiuka kulipisha gari la Zimamoto na Uokoaji
wakati linaenda katika tukio lolote la uokoaji pamoja na kuzima moto. Pia
aliitaka Jeshi hilo kuongeza kasi ya kukusanya mapato katika vyanzo vyake
mbalimbali.
No comments:
Post a Comment