Muigizaji wa Bongo Movie Ray Kigosi akanusha habari zilizosambaa mtaani kuwa anatumia Mkorogo.Ray Amefunguka na Kusema kuwa ' Weupe wake Ni kwa sababu anakunywa sana Maji (1 Gallon a day).
2 comments:
Anonymous
said...
Upumbavu mtupu, aidha awe anatumia mkorogo au la.wazo la mtu mweusi awe mdada au mvulana la kuhangaika na kutaka aonekane mweupe ni upuuzi uliopitiliza kichefu chefu. Weusi wetu unatosha kabisa kwani hata hao watu weupe wapo jealous na rangi na ubora wa ngozi yetu. Mimi ni mweusi lakini tamani ningekuwa mweusi zaidi kwani nimezaliwa nakujikuta na ngozi ya maji ya kunde siwezi kumlaumu mungu kutokana na maumbile ya ngozi yangu lakini kama mtu mweusi ningekuwa mweusi zaidi kama msenegali ningefurahi sana. Lakini kikubwa kuliko yote namshukuru mungu usiku na mchana kwa kuniumba kama mtu mweusi na najivunia ngozi yangu nyeusi kama moja ya zawadi muhimu kutoka kwa God.

Muacheni Ray na maisha yake. Maisha ni kupanga na kupanga ni kuchagua
Post a Comment