ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, April 19, 2016

NEW YORK SOCCER TEAM (NYATI) MAZOEZI YATAANZA MAPEMA HALI YA HEWA IMESHAANZA KUTULIA KUJIANDAA NA MECHI YA YANGA NA SIMBA PIA DC WAJE KULIPA.

Mazoezi  yataanza sooner kujiandaa na  mechi ya Yanga na Simba  Memorial Weekend hapa hapa New york. Hiyo ni nafasi ya wapenzi wa Yanga na Simba kutoana jasho na Kombe uwanjani siku hiyo mtoto hatumwi dukani kwani akitumwa dukani change mali yake au itapotelea njiani kabisa kabla kufika nyumbani. Tafadhani tafadhali ukisoma hii habari mwambie mnazi mwenzio kuwa awile mwana siku hiyo.


3 comments:

Anonymous said...

wazee wenzangu.....inabidi nicheke...but good way kupunguza vitambi �� nawatakia more wins zaidi this year.

Anonymous said...

jamaa zangu hawa kila siku hali ya hewa ikitulia,,,hahah

Anonymous said...

Hahhahah kila siku..hali ya hewa hali ya hewa...aitulii tuu..? Au tuiwekee break itulie?