Mazoezi yataanza sooner kujiandaa na mechi ya Yanga na Simba Memorial Weekend hapa hapa New york. Hiyo ni nafasi ya wapenzi wa Yanga na Simba kutoana jasho na Kombe uwanjani siku hiyo mtoto hatumwi dukani kwani akitumwa dukani change mali yake au itapotelea njiani kabisa kabla kufika nyumbani. Tafadhani tafadhali ukisoma hii habari mwambie mnazi mwenzio kuwa awile mwana siku hiyo.
3 comments:
wazee wenzangu.....inabidi nicheke...but good way kupunguza vitambi �� nawatakia more wins zaidi this year.
jamaa zangu hawa kila siku hali ya hewa ikitulia,,,hahah
Hahhahah kila siku..hali ya hewa hali ya hewa...aitulii tuu..? Au tuiwekee break itulie?
Post a Comment