Monday, June 13, 2016

KIJANA WA DMV ALA NONDO

Kijana wa DMV atunukiwa shahada (Government and Politics) katika chuo kikuu cha Maryland katika mji wa College Park, hapa Marekani.


Hongera sana Salim Rashid na tunakuombea kwa Mwenyezi Mungu aendelee kukulinda na kukuongoza katika safari yako katika masomo yako ya Shahada ya Sheria. 


  Salim akiwa na Mama Yake Asha Nyanganyi
 Salim Akiwa na Wadogo zake
Picha na Babu na Bibi - Mheshimiwa Balozi Mustafa Nyang'anyi

Picha na Mama wadogo Joha Nyang'anyi na Dr. Rahma Nyang'anyi.
Picha ya Salim na Familia

Kwa Picha zaidi Bofya hapa














































1 comment:

Linga said...

hongereni sana wazazi kwa kazi nzuri