Kijana wa DMV atunukiwa shahada
(Government and Politics) katika chuo kikuu cha Maryland katika mji wa College
Park, hapa Marekani.
Hongera sana Salim Rashid na
tunakuombea kwa Mwenyezi Mungu aendelee kukulinda na kukuongoza katika safari
yako katika masomo yako ya Shahada ya Sheria.
Salim akiwa na Mama Yake Asha Nyanganyi
Salim Akiwa na Wadogo zake
Picha na Babu na Bibi - Mheshimiwa Balozi Mustafa Nyang'anyi
Picha na Mama wadogo Joha Nyang'anyi na Dr. Rahma Nyang'anyi.
Picha ya Salim na Familia
Kwa Picha zaidi Bofya hapa
1 comment:
hongereni sana wazazi kwa kazi nzuri
Post a Comment