ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, June 18, 2016

KUTOKA MAKTABA: Mahojiano na viongozi wa CHAUKIDU

Karibu katika mahojiano yetu na viongozi wa CHAma cha Ukuzaji wa KIswahili DUniani (CHAUKIDU)
Dr Leornard Muaka ni Mkurugenzi Mtendaji wa Chaudiku na  mwalimu wa lugha katika Chuo Kikuu cha Wiston Salem jimbo la Nortk Carolina
Dr Dainess Maganda ni Mwana-bodi wa CHAUDIKU, mwalimu wa lugha na mtaalam wa ufundishaji wa utamaduni wa kiafrika katika chuo kikuu cha Georgia jimbo la Georgia
Walikuwa wakarimu sana kujiunga nasi kwenye ofisi za ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa nchi za Marekani na Mexico, Washington DC
Karibu uwasikilize

No comments: