Karibuni sana kwa Ibada ya Misa ya Kiswahili,19 June 2016.
tutasherehekea siku ya kina Baba Duniani. (Father's Day).
Ibada itafanyika katika kanisa letu takatifu la
Mtakatifu Edward (St. Edward Parish)
901 Poplar Grove St
Baltimore, Md 21216
Phone# (410) 362-2000
Tarehe 19 June 2016 (Father's Day)
Saa nane kamili mchana (2:00pm)
Karibuni sana na unaombwa kuwataarifu na kuwakaribisha ndugu, jamaa na marafiki zako.
Kwa niaba ya Baba Paroko, Padri Honest Munishi, Ni Mwenyekiti wa Wakatoliki DMV.
Patrick Kajale
No comments:
Post a Comment