Advertisements

Tuesday, August 23, 2016

KICHANGA CHAOKOTWA POLINI KINA SIKU 4 KATIKA POLI LA WENDELE WILAYANI KAHAMA KIKIWA HAI

kichanga kikiwa hospital ya wilaya ya kahama katika wodi namba 6
Afisa Maendeleo ya jamii katika hospital ya halmashauri ya mji alinda bwakea akieleza hali ya kichanga hicho kuwa ni nzuri kwa sasa 
Mwanamke moja mkazi wa kata ya wendele juu, wilayani kahama shinyanga Consolath paschal limeokota mtoto mchanga anayekadiriwa kuwa na wiki moja katika poli la Msitu wa wendele wilayani hapa.

Akiongea na nipashe consolath alisema ilikuwa majira ya asubuhi saa tano nilikuwa nimekwenda kutafuta kuni wakati wa kwenda huko kwenye huo msitu ambao upo mwisho na shule ya msingi wendele nilikutana na wanafunzi wa shule hiyo wakaniambie kuwa kuna katoto mama kanalia huko polini.

Akifafanua zaidi consolath alisema baada ya watoto hao kunieleza nilikwenda moja kwa moja mpaka hapo kalipo hapo katoto na kukakuta kiwa kanalia sana, nao kalikuwa na njaa ya maziwa.na kukachukuwa hapo chini kakiwa kamejisaidia.

MOHAB MATUKIO

3 comments:

Anonymous said...

Jamani hata editing tu? Limeokota, Poli why? Kiswahili lugha ya taifa je lugha zingine. It is really annoying even on headlines.

Anonymous said...

uuwiii namuomba jamaaniiii

Anonymous said...

Mungu halali wala hasixii..