Advertisements

Saturday, August 20, 2016

MAMA BISHANGA NDANI YA WHITE PARTY YA BIRTHDAY YA RUKIA HUSSEIN

Rukia mtoto wa marehemu Sheihk Yahya Hussein aliangusha bonge ya white party kusherehekea miaka 50 ya
birthday yake kwenye hoteli babu kubwa ya Marrioti, jijini Cleveland Ohio. Mambo yalikuwa mambo haswaaa!
rumba lilinoga kwa nyimbo za nchi mbali mbali za Africa na hasa za maarufu home TZ za Bado, number one,
bora uende, colors of African, na nasema nae taarabu ambao mume wa Rukia ilibidi awekwe kitini na kukatiwa
mauno kisawasawa na mkewe na waalikwa akina Mama Bishanga, Prisca Zenda, Michelle Mujuni nk
walipotupia mduara wa nguvu! Wapendwa angalieni picha mpate picha ya mambo yalivyokuwa bam bam!

HAPPY BIRTHDAY RUKIA MUNGU AKUONGEZEE UMRI, MAFANIKIO, NA
FURAHA YA MAISHA YAKO NA NDOA NA FAMILIA YAKO!

1 comment:

Anonymous said...

Hongera Rukia nakutakia maisha na ndoa njema