Advertisements

Sunday, August 28, 2016

PITA PITA YA VIJIMAMBOBLOG MINNEAPOLIS TWIN CITY


Mchungaji Mwalinino wa community ya Watanzania Minnesota akiwa mbele ya waumini wake akiongoza misa ya jumapili, Vijimmboblog ilipata nafasi ya kutembelea kanisani hapo na kupata ukodak huu live. 

Waumini wakishiriki kupata mkate wa bwana kanisani hapo.
Waumini wakiimba kwaya kanisani hapo, Kwa picha zaidi nenda soma zaidi.


No comments: