Advertisements

Tuesday, August 23, 2016

TAZAMA PICHA ZA ALIKIBA ALIVYOTUMBUIZA MBELE YA WATU 15K MOMBASA

 Alikiba aliusurprise umati mkubwa wa wapenzi wa muziki jijini Mwanza kwenye show ya Fiesta Jumamosi iliyopita na kusababisha shangwe kubwa lakini hiyo haikutosha.
Mkali huyo wa Aje siku moja baadaye alitumbuiza mbele ya mashabiki takriban 15,000 kwenye uwanja wa Mama Ngina Drive mjini Mombasa, Kenya, mbele ya gavana, Hassan Ali Joho.

Lilikuwa ni tamasha kubwa la Mombasa International Cultural Festival ambapo kundi la Sauti Sol pia lilitumbuiza. Hizi ni picha zaidi.No comments: