Advertisements

Wednesday, August 24, 2016

TETEMEKO KUBWA LA ARDHI LAUWA WATU WAPATAO 10 NCHINI ITALIA


Tetemeko la ardhi limetokea katika enao la kati la Italia na kuuwa watu wapatao 10 na wengine kadhaa wamefunikwa na vifusi.


Tetemeko hilo lenye ukupwa wa kipimo cha alama 6.2 limetokea kusini mashariki mwa mji wa Perugia.
  Mtu akiangua kilio akiwa juu ya kifusi cha jengo lililoanguka
  Polisi na vikosi vya uokoaji vikiwa vimeubeba mwili wa mtu 


Vikosi vya uokoaji vikimuokoa mwanamke aliyekwama juu ya jengo lililoathiriwa na tetemeko.  


No comments: