Advertisements

Saturday, September 24, 2016

NJOO LEO UPATE BIDHAA MWANANA HAPA DMV KUTOKA TANZANIA

Karibuni mjionee na kununua bidhaa za kutoka nyumbani na kupata fursa ya kukutana na Kina mama Wajisiriamalia wa Tanzania. Mama Anna Matinde na Mwanamitindo aliyebobea dada Daria Gwao.

Watakuwa ofisi za ICT:-

4600 powder mill Rd, Beltsville, MD 20705

Siku:Jumamosi
September 24, 2016

MUDA : 5 Asubuhi-8 Mchana(11 AM-2PM) :KUUZA bidhaa zao. Baadae
8 MCHANA-10 JIONI (2PM-4PM): MKUTANO
 na wageni waliojiandikisha tu: Kusikia fursa za uwekezaji Tanzania.

Mama Matinde amehamasisha Kina mama wengi Tanzania katika biashara kupitia SACCOS aliyoianzisha Tanzania. Pia ni mmiliki wa biashara nyingine ndani na nje ya nchi na ni mkurugenzi wa Bodi ya TPSF.

Kwa taarifa zaidi,wasiliana nasi :

301 793 2833
240 813 5563


No comments: