Investment Consortium of Tanzanians in USA
(ICT) wanapenda kuwakaribisha Watanzania wote na marafiki zao kwenye mkutano na Mama Anna Matinde kutoka Tanzania .
Mama Anna Matinde ni Mkurugenzi wa Bodi ya
TPSF (Tanzania Private
Sector Foundation – Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania ) na pia ni mjumbe
wa Bodi ya Baraza la Taifa la Biashara.
TAREHE: 24
SEPTEMBA, 2016
ANUANI: 4600 Powder Mill Rd ,
MUDA:
Kuanzia saa nane mchana.
MKUTANO NI WA KUJIANDIKISHA:
au piga simu (301) 793-2833
Mkutano huu umefadhiliwa na ICT (Investment
Consortium of Tanzanians in USA )





