ANGALIA LIVE NEWS
Saturday, February 18, 2017
UKO NA MPENZI.....? NAFASI NDIO HII
Hookup 255 ni reality TV Show inayo kukutanisha wewe na mtu ambaye haujawahi kukutananae ila mnaendana kitabia, upendo, malengo na end of the day mnaweza kuwa wapenzi forever.
Nafasi ni yako msichana wa Kitanzania mwenye umri wa 18- 34 unaweza kutuma picha na namba yako inbox kwenye acount zetu Instagram na Facebook page ili uingizwe kwenye list ya washiriki wa kipindi chetu kizuri.
Kutakuwa na mchujo coz tunahitaji watu walio Serious kuhusu kupata mpenzi mwenye vigezo vinavyo stahili. Endapo utapita kwenye mchujo wetu utapatiwa form ya kujaza, utakapo irudisha form utalipia Tsh: 2000/= tu.
Huenda zari ikakudondokea wewe mdada kukutana na Hookup 254 ya Kenya na mambo yakawa Bam bam.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment