Advertisements

Monday, March 20, 2017

SHEREHE YA SIKU YA KUZALIWA YA MAI DURHAM, NC

Maimuna Habib aka Mai akipata piza kwenye sherehe ya siku yake ya kuzaliwa iliyofanyika siku ya Jumapili March 19, 2017 katika sehemu ya michezo ya watoto inayoitwa Pump It Up iliyopo North Carolina.
Mai kulia na watoto wenzake waliojumuika pamoja kusherehekea siku yake ya kuzaliwa siku ya Jumapili March 19, 2017 katika sehemu ya michezo ya watoto inayoitwa Pump It Up iliyopo North Carolina.
Kulia ni mama mzazi wa Mai Bi. Scholastica Kiemi akimwelekeza jambo mtoto wake kwenye siku ya kusherehekea siku yake ya kuzaliwa iliyofanyika siku ya Jumapili March 19, 2017 katika sehemu ya michezo ya watoto inayoitwa Pump It Up iliyopo North Carolina.
Mai na watoto wenzake waliojumuika pamoja kusherehekea siku yake ya kuzaliwa.

Mai na watoto wenzake wakipata ukodak moment.


No comments: