Advertisements

Wednesday, April 26, 2017

JOKATE MWEGELO AANZA MAJUKUMU YAKE UVCCM KWA KISHINDO

Kaimu Mkuu wa Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi Ndg:Jokate Urban Mwengelo wa Nne kulia akiwasili kata ya Hombolo alipokwenda kukabidhi kadi kwa wanachama wapya. 
Kaimu Mkuu wa Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi Ndg:Jokate Urban Mwengelo akishukuru jambo mara baaada ya kuwasili katika eneo hilo kata ya Hombolo
Mjumbe wa Baraza kuu Uvccm Taifa kupitia Mkoa wa Dodoma Ndg:Egla Mamoto akizungumza katika Mkutano wa Wanachama kata ya Chang’ombe.
Kaimu Mkuu wa Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi Ndg:Jokate Urban Mwengelo akizungumza na vijana na wanachama wa chama cha mapinduzi kata ya Hombolo mkoan Dodoma
Kaimu Mkuu wa Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi Ndg:Jokate Urban Mwengelo akitoa kadi kwa wanachama wapya wa chama cha mapinduzi kata ya Hombolo mkoan Dodoma
Wanachama wapya wakiala kiapo cha chama
Kaimu Mkuu wa Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi Ndg:Jokate Urban Mwengelo akitoa kadi kwa wanachama wapya wa chama cha mapinduzi kata ya Hombolo Mjini mkoan Dodoma
Kaimu Mkuu wa Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi Ndg:Jokate Urban
Mwengelo wa pili kulia akimuaga mwenyekiti wa UWT kata ya Hombolo Mjini .

Mwengelo akizungumza na Wanachama wa UVCCM Chuo kikuu UDOM Mkoan dodoma.
Makada wa chama cha Mapinduzi wakijiselfii na kaimu Mkuu wa Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi

Mjumbe wa Baraza kuu Uvccm Taifa kupitia Mkoa wa Dodoma Ndg:Egla Mamoto akizungumza katika Mkutano wa Wanachama kata ya Chang’ombe.
Kaimu Mkuu wa Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi Ndg:Jokate Urban
Mwengelo akizungumza na Wanachama wa UVCCM na CCM Kata ya Chan’gombe Mkoan dodoma.

Mwengelo akitoa kadi kwa mmoja kati ya wanachama wapya Kata ya Chan’gombe Mkoan dodoma.picha na (FAHADISIRAJI)
Kaimu Mkuu wa Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi Ndg:Jokate Urban Mwengelo akishangiliwa na wanafunzi makada wa chama cha mapinduzi katika chuo cha Serikali za Mitaa kilichopo Mkoani Dodoma katika kata ya Hombolo
Kaimu Mkuu wa Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi Ndg:Jokate Urban Mwengelo akizungumza na vijana na wanachama wa chama cha mapinduzi kata ya Hombolo mkoan Dodoma

Kaimu Mkuu wa Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi Ndg:Jokate Urban
Mwengelo akitoa kadi kwa wanachama wapya wa chama cha mapinduzi kata
ya Hombolo mkoan Dodoma
Wanachama wapya wakiala kiapo cha chama
Kaimu Mkuu wa Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi Ndg:Jokate Urban
Mwengelo akitoa kadi kwa wanachama wapya wa chama cha mapinduzi kata
ya Hombolo Mjini mkoan Dodoma
Kaimu Mkuu wa Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi Ndg:Jokate Urban
Mwengelo wa pili kulia akimuaga mwenyekiti wa UWT kata ya Hombolo Mjini .

Kaimu Mkuu wa Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi Ndg:Jokate Urban
Mwengelo akizungumza na Wanachama wa UVCCM Chuo kikuu UDOM Mkoan dodoma.
Makada wa chama cha Mapinduzi wakijiselfii na kaimu Mkuu wa Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi
MJumbe wa Baraza kuu Uvccm Taifa kupitia Mkoa wa Dodoma Ndg:Egla Mamoto akizungumza katika Mkutano wa Wanachama kata ya Chang’ombe.
Kaimu Mkuu wa Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi Ndg:Jokate Urban
Mwengelo akizungumza na Wanachama wa UVCCM na CCM Kata ya Chan’gombe Mkoan dodoma.
Kaimu Mkuu wa Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi Ndg:Jokate UrbanMwengelo akitoa kadi kwa mmoja kati ya wanachama wapya Kata ya Chan’gombe Mkoan dodoma.(PICHA NA FAHD SIRAJI)

No comments: