Advertisements

Wednesday, April 26, 2017

RAIS MSTAAFU JAKAYA KIKWETE NA MBUNGE WA TARIME MJIJI ESTHER MATIKO WAKIWA UANJA WA NDEGE DULLES, MAREKANI

Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akiwa na Mbunge wa Tarime mjini Esther Matiko (Chadema) katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Dulles Washington DC nchini Marekani ,wakiwa wanarejea nchini kutoka Marekani walikokuwa wakihudhuria mkutano wa kimataifa uliowajumuisha viongozi mbalimbali wa nchi wanachama wa Benki ya Dunia na na IMF, asasi za kiraia, mashirika binafsi kuzungumzia masuala ya mbalimbali has afya na elimu. Tayari viongozi hao wamewasili nchini na wanaendelea na majukumu yao

Mkutano huo umeazimia nchi na mashirika mbalimbali kuwekeza kwenye Lishe ili mataifa kuepuka kuwa na watu wenye udumavu na hivyo kuathiri uchumi wa nchi.

No comments: