NY EBRA AKIWA MA ENGINEER WA GEM SYSTEMS ADVANCED MAGNETOMETERS. MARKHAM, ONTARIO. CANADA ALIVYOENDA KUTEMBELEA AKIWA NA C.E.O WA ALTERNATIVE SOLUTIONS L.T.D KUTOKA TANZANIA. |
Wataalam wa GEM system advances wakifunga box lenye vifaa tayari kwa kusafirisha hadi Tanzania kwa ajili ya kuanza kazi ya kufanya survey ya kutafuta maeneo yanayopatikana madini.
HII NI AIRBORNE GEOPHYSICS YENYE UWEZO WA KURUKA NA KUPIGA PICHA KWENYE MAENEO MBALIMBALI YENYE MADINI.
No comments:
Post a Comment