Memorial Day Weekend mambo yalikuwa bam bam ndani ya Columbus. Ohio hapa Dj Dave akifanya mambo yake kwa mix za bandika bandua.
Mwanzo mwisho kiroho safi Watanzania wakimanjuka ukumbini hapo. Kwa picha zaidi jitiririshe kwa kugonga hapa chini.
Kulikuwa na vitafunwa kama hivi pia hapo ukumbini.
Upande wa vinywaji mambo yalienda mubashara kabisa chini ya Elizabeth na Said.
Ukodak wa pamoja wa warembo waliofanikisha mpango mzima wa shughuri hii.
1 comment:
Ilikuwa balaa
Post a Comment