Familia ya Charles Sembe Luboko Omari inatoa shukurani kwa wapendwa wote walio shiriki kwa hali na Mali katika Mazishi ya baba yao Mzee Charles Sembe Luboko Omari yaliyofanyika nyumbani kwake Kibamba Ijumaa March 31 mwaka 2017.
Misa ya Arubaini itafanyika siku ya Jumamosi May 6 mwaka 2017 kuanzia saa 2 asubuhi katika Kanisa la Mtakatifu Lorenzo - Kibamba, Dar Es Salaam.
Misa ya Arubaini itafanyika siku ya Jumamosi May 6 mwaka 2017 kuanzia saa 2 asubuhi katika Kanisa la Mtakatifu Lorenzo - Kibamba, Dar Es Salaam.
No comments:
Post a Comment