ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, July 29, 2017

ZITTO KABWE AKUBALI SERIKALI YA MAGUFULI KUKOSA DEMOKRASIA

1 comment:

Anonymous said...

Wewe Zitto unaongea usilolijua. Haueleweki unaongelea ukabila na unaropoka ovyo. Ulifukuzwa CHADEMA kwa sababu ya usaliti wako. Ni nani asiyejua usaliti wako......Traitor mkubwa wewe? Ulisema Buzwagi hapo ulikuwa sawa lakini ulipoanza kuwa na mahusiano na mkuu wa usalama wa Taifa na waziri mkuu Pinda credibility yako ilishuka sana. Hayo unayoyaongea ni kujishuku mwenyewe bila kuulizwa na yeyote kwa sababu unaji-feel guilty. Zitto huaminiki ndiyo hata maana huyo rais Dictator anawachukua wanachama wako na kuwapa vyeo vidogo vidogo vya fadhila kwa sababu huna msimamo...Mbona hachagui CDM? Siyo kwa sababu hapendi ila hawatakubali kwa sababu hawakubaliana na sera nyingi mbovu za huyo rais za kukurupuka,kutumia nguvu kubwa na kueneza chuki kwa watanzania. Leo kama huyo rais anapenda haki mbona anamwacha MAKONDA afanye anavyotaka bila kumuuliza? Rais huyu mwenye maneno machafu na kejeli ungefanya vyema kumweleza basi awe mstaarabu na arejeshe demokrasia yetu. Hatuwezi kuwa Rwanda au Somalia, wananchi wanaompinga wanapotea wengine wanatekwa na kuteswa, polisi wanapiga wananchi ovyo.....Kwa nini usimwambie?