Padri Honest Munishi
Mnakaribishwa sana kushiriki ibada ya Misa kwa Lugha ya Kiswahili kama ilivyo desturiyetu ya kila mwezi. Ibada hii itafanyika katika kanisa la Mtakatifu Edward (St. Edward Parish)
Octoba 29, 2017 saa nane kamili mchana (2:00 PM)
Anwani:
901 Poplar Grove St.
Baltimore, Md 21216
Mawasilino: 4103622000.
Kwa niaba ya Padri Honest Munishi ni Katibu Tibruss Minja.
Mungu ni mwema kila wakati, Kila wakati Mungu ni mwema.
1 comment:
Asante sana kwa taarifa.
Pia shukurani nyingi kwa wanaJumuiya na Pedro kwa kutushirikisha kimono.
Bila kumsahau Dj Luke kwa kututaarifu mambo mengi yanayotuhusu wana Diaspora.Viva Luke.
Post a Comment