Advertisements

Monday, December 25, 2017

Balozi wa Kuwait nchini Tanzania, Mhe.Jasem Al Najem, Ubalozi wa Kuwaiti

 Mwenyekiti wa Taasisi ya Dkt. Amon Mkoga, Bwana Amon Mkoga na kulia kwake ni Mhe.Stella Ikupa Naibu waziri wa Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu akifuatiwa na Balozi wa Kuwait nchini Tanzania, Mhe.Jasem Al Najem, Ubalozi wa Kuwaiti umetoa vyerehani, fimbo za kutembelea walemavu na baiskeli za walemavu vyote vikiwa na thamani ya shilingi milioni 18 kwa watu wenye mahitaji maalum kutoka mkoa wa Tabora.

No comments: