Mashine hiyo ya uchunguzi wa mwili wa mwanadamu CT Scan (Computerized Tomography Scan) inatarajiwa kuzinduliwa kesho ijumaa Januari 26, 2018 na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Waziri.
1 comment:
Anonymous
said...
Hiyo mashine mbona ya kawaida sana....hadi waziri azindue, kweli mawaziri wetu hawana la kufanya. Kwani lazima izinduliwe? Tutabaki nyuma siku zote kwa mtindo huu wa mawaziri na rais kuzindua vitu vidogo vidogo.

Post a Comment