Advertisements

Saturday, June 9, 2018

LAST RESPECT YA JOSIAH CHACHAI SASA KUFANYIKA LEO JUMAMOSI JUNE 9, 2018

Tunapenda kuwatangazia kwamba mwili wa marehemu JOSIAH CHACHA utaagwa Jumamosi hii June 9th, 2018
at *Curran-O'Brien Funeral Home* 
Anuani: 

33 Lamb St 
South Hardley, MA 01075**
Muda  2pm -5pm ET


itafuatiwa na chakula nyumbani kwa wafiwa: 540 Grandy Rd, Apt #26,  South Hardley MA 01075*

Kwa taarifa zaidi 
Unaweza wasiliana moja kwa moja na:
Aida (Fiancee) : 413-693-5432
Saada: 413-204-1321 au 
Richard Mwandemani: 413-262-0400

BWANA Ametoa, BWANA Ametwaa, Jina lake lihimidiwe🙏🏽

AMEN.

Ndugu zangu Watanzania tunaopendana kwa utaifa wetu,familia ya Watanzania New England tumepatwa na msiba wa mwenzetu Josiah Chacha. Michango yetu inahitajika ili mwenzetu Josiah Chacha aweze kwenda pumzishwa katika nyumba yake ya milele.

 Tuungane ndugu na tulichonacho ili tuwasaidie familia yake kukamilisha mipango ya mazishi yake. Tusaidie pia kuarifu wanajumuiya wenzetu ili nao wasaidie. 

Kwa taarifa zaidi Unaweza wasiliana moja kwa moja na: 
Aida (Fiancee) : 413-693-5432 
Sada (Dada wa marehemu): 413-204-1321 
Richard Mwandemani: 413-262-0400 

Msiba upo nyumbani kwa marehemu: 
540 Grandy Rd, 
South Hardley MA 01075 

Kwa Rambirambi* Kuisindikiza familia hii kwa rambirambi, t'dhali tumia njia yeyote kati ya hizi: 
CashApp 
Aida Mwangaka: 413-693-5432 
Amina Makoko : 413-204-1321

Bank Account 
Bank of America (BOA)
acct;004648822691 
routing;011000136
jina;VeronicaBisege

BWANA AMETOA, BWANA AMETWAA NA JINA LAKE LIHIMIDIWE

No comments: