Bwana Harusi Herry Nyanda akiwa amemshika mkono kimubashara kabisa Bi harusi wake Grace Madata. Herry Nyanda na Grace walifunga ndoa yao jiji Dar katika kanisa la St Peter na sherehe kuchukua nafasi katika ukumbu wa maafande wa Jwtz Sinza. Na upigaji wa picha ulifanyika katika viunga vya Kilimanjaro Hotel. Bi Harusi ni mfanyakazi wa Kilimanjaro hotel na Bwana harusi ni mjasiriamali anaeendesha maisha yake Ughaibuni katika nchi ya Marekani.
Bwana Harusi akiwa amembeba mke wake akimaanisha dhamana ya upendo wake hipo juu ya mikino yake kuche kusikuche mambo ni moto moto tu.
Bwana Harusi akimlisha kipande cha keki mke wake kiroho safi
No comments:
Post a Comment