Advertisements

Monday, September 24, 2018

HAPPY BIRTHDAY GLORY

Glory akijiandaa kukata keki ya kumbukumbu ya siku yake ya kuzaliwa iliyofanyika siku ya Jumamosi Sept 22, 2018, Maryland na kuhudhuriwa na marafiki zake.
Baba mwenye nyumba akimlisha keki Birthday Girl
Birthday Girl akimlisha keki baba mwenye nyumba wake.
Aj akimlisha keki mama yake.
Waliozaliwa September wakilishwa keki.
Rafiki wa Glory akilishwa keki ni kati waliozaliwa September.
Mmoja wa waliozaliwa Sept akipata ukodak moment na Glory.
Marafiki wa Glory walikuja toka North Carolina wakilishwa keki.
BFF akipata picha na Glory.
Edah Gachuma mkurugenzi wa Elegant akipata picha na aunty yake na yeye ndie aliyenogesha mapambo siku hiyo ya birthday na keki ya bei mbaya kwa aunty yake.
kwa picha zaidi bofya soma zaidi

 
Mdogo wa hiari Ebra akipata picha na shemela wake all the way from New York

 No comments: