ANGALIA LIVE NEWS

Monday, September 24, 2018

MISA YA KUMBU YA MAISHA YA JOSHUA MUZUMAKUMBU

Mwili wa marehemu Joshua Muzuma ukiingizwa kanisani katika misa ya ibada ya maisha ya kumbukumbu iliyofanyika siku ya Jumamosi Sept 22, 2018 katika kanisa la Kiswahili la Kilutheri Rockville, Maryland.
Mmoja ya wanafamilia akiingia na maua kanisani.
Mchungaji John Mbatta kiongoza misa ya ibada ya kumbukumbu ya mpendwa wetu Josh.
Mwakilishi wa Ubalozi Mwambata Brigedia Jenerali Mutta na mkewe wakifuatilia misa.
Balozi Liberata Mulamula akiwa mmoja ya waliohudhuria misa hiyo.
Wanafamilia wakifuatilia misa .
Rais wa Jumuiya ya waTanzania DMV Dj Luke akiongea machache na kuwaasa wanaDMV wachangamkie bima ya maisha kwani itapunguza au kuondoa kabisa michango badala yake rambirambi itakayopatikana itasaidia familia.
Mhazini wa Jumuiya ya waTanzania DMV,ms Lysa Bantu akifuatilia misa.
kwa picha zaidi bofya soma zaidi

more photos click here

No comments: