Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NMB, akizungumza wakati wa uzinduzi wa wiki ya huduma kwa wateja iliyofanyika NMB Mlimani City jijini Dar es Salaam.
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NMB, akizungumza wakati wa uzinduzi wa wiki ya huduma kwa wateja iliyofanyika NMB Mlimani City jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya wateja wa Benki ya NMB wakiwa kwenye uzinduzi wa Wiki ya huduma kwa wateja.
Mmoja wa wafanyakazi wa Benki ya NMB kutoka kitengo cha 'HR Support' (kulia) akiwasilisha mada namba kitengo hicho kilivyofanikiwa kutoa huduma zake ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya uzinduzi wa wiki ya huduma kwa wateja wa NMB.
Mada mbalimbali zikijadiliwa na wafanyakazi wa NMB ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya uzinduzi wa wiki ya huduma kwa wateja wa NMB.
Mada mbalimbali zikijadiliwa na wafanyakazi wa NMB ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya uzinduzi wa wiki ya huduma kwa wateja wa NMB.
Sehemu ya wafanyakazi wa NMB wakiwa katika majadiliano Makao Makuu ya NMB ikiwa ni sehemu ya maadhimisho uzinduzi wa wiki ya huduma kwa wateja wa NMB.
Baadhi ya wafanyakazi wa NMB kutoka kitengo cha 'HR Support' makao makuu ya benki hiyo wakikata keki kujipongeza kwa kitengo hicho kutimiza mwaka mmoja kwa mafanikio ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya uzinduzi wa wiki ya huduma kwa wateja wa NMB.
Keki ikiandaliwa na kitengo cha 'HR Support' makao makuu ya Benki ya NMB tayari kwa kuliwa na washiriki.

No comments:
Post a Comment