Advertisements

Saturday, June 6, 2020

RAIS MHE. DKT. MAGUFULI AFUNGUA MKUTANO MKUU WA UCHAGUZI WA CHAMA CHA WALIMU TANZANIA CWT KATIKA UWANJA WA JAMHURI MJINI DODOMA


Picha namba.1-4, Mhe. Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli aki wahutubia walimu katika uwanja wa jamhuri Mjini Dodoma , Mhe. rais alikuwa mgeni rasmi katika mkutano mkuu wa uchaguzi wa chama cha walimu nchini, CWT.
Mhe. Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na Waziri mkuu Mhe. Kassim Majaliwa wakifatilia jambo wakati wa ufunguzi wa mkutano mkuu wa uchaguzi wa chama cha walimu Tanzania CWT. leo.

Mhe. Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ,Waziri mkuu Mhe. Kassim Majaliwa na waziri wa nchi ofisi ya waziri mkuu sera ,Bunge ,Ajira na watu wenye ulemavu, Mhe. Jenista Mhagama wakifurahia jambo wakati wa ufunguzi wa mkutano mkuu wa uchaguzi wa chama cha walimu Tanzania CWT. leo.
Mhe. Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na Waziri mkuu Mhe. Kassim Majaliwa wakiongea wakati wa ufunguzi wa mkutano mkuu wa uchaguzi wa chama cha walimu Tanzania CWT. leo.
Waziri wa nchi ofisi ya waziri mkuu sera ,Bunge ,Ajira na watu wenye ulemavu, Mhe. Jenista Mhagama akitoa hotuba ya kumkaribisha mgeni rasmi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipiga makofi mara baada ya Kwaya ya Chama cha Walimu CWT kutumbuiza katika uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma.
Viongozi mbalimbali pamoja na Walimu wakiimba Wimbo wa Mshikamano kabla ya kuanza kwa Mkutano Mkuu wa Uchaguzi wa CWT uliofanyika katika uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia Walimu wakati akiwasili katika uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma kwa ajili ya ufunguzi Mkutano Mkuu

No comments: