ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, February 10, 2022

BALOZI WA KUDUMU WA TANZANIA UMOJA WA MATAIFA, NEW YORK ASHIRIKI MAZIKO YA SEIF AKIDA, FREDERICK, MARYLAND

Kati ni Balozi wa kudumu wa Tanzania Umoja wa Mataifa New York, Mhe. Kennedy Gastorn akijumuika na familia kwenye maziko ya aliyekua Mwenyekiti wa Jumuiya ya waTanzania na mwenyekiti wa CCM New York, Marehemu Seif Akida aliyezikwa Frederick, Maryland siku ya Jumatano February 9, 2022 baada ya sala ya adhuhuri.
WaTanzania, ndugu, jamaa na marafiki wakijumuika pamoja katika sala ya adhuhuri kabla ya maziko ya mpendwa wetu Seif Akida aliyezikwa siku ya Jumatano February 9, 2022Frederick, Maryland.
Balozi wa kudumu wa Tanzania Umoja wa Mataifa New York, Mhe. Kennedy Gastorn akijumuika na familia kwenye maziko ya aliyekua Mwenyekiti wa Jumuiya ya waTanzania na mwenyekiti wa CCM New York, Marehemu Seif Akida aliyezikwa Frederick, Maryland siku ya Jumatano February 9, 2022 baada ya sala ya adhuhuri.
Wanafamilia wakishiriki maziko ya mpendwa wao
Ndugu, jamaa na marafiki wakishiriki maziko ya Seif Akida yaliyofanyika Frederick, Maryland siku ya Jumatano February 9, 2022 baada ya sala ya adhuhuri.
Maziko yakiendelea
Ndugu, jamaa na marafiki wakishiriki maziko ya Seif Akida yaliyofanyika Frederick, Maryland siku ya Jumatano February 9, 2022 baada ya sala ya adhuhuri.
shughuli ya maziko ikiendelea
Ndugu, jamaa na marafiki wakishiriki maziko ya Seif Akida yaliyofanyika Frederick, Maryland siku ya Jumatano February 9, 2022 baada ya sala ya adhuhuri.
Mwili ukiswaliwa kabla ya maziko
Gari lililobeba mwaili wa Seif Akida likiwasili makaburini.

No comments: