ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, April 6, 2022

SPIKA WA BUNGE DKT TULIA ACKSON ASHIRIKI IBADA YA KUAGA MWILI WA SPIKA WA BUNGE LA UGANDA MAREHEMU JACOB OULANYAH

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson,  ameshiriki ibada ya kitaifa ya kuaga mwili wa aliyekuwa Spika wa Bunge la Uganda, Mhe. Jacob Oulanyah katika Viwanja vya Kololo, Jijini Kampala nchini Uganda leo Aprili 6, 2022.

Marehemu Jacob alifariki dunia Machi 20, 2022 nchini  Marekani, alipokuwa akipatiwa matibabu.








No comments: