Saturday, February 13, 2010

Dubai na mji utakaoelea kwenye maji

mji wa Lilypad utakuwa nauwezo wa nyumba zitakazo kidhi idadi ya watu 50,000,mji ambao utakuwa unaelea kwenye maji,na utakao jengewa maziwa na milima bandia na maduka(shopping malls)

1 comment:

Anonymous said...

Hawa jamaa kiboko, hivi sasa wapo muflisi wanatumia zaidi ya kipato chao majuzi tu ilidi wakopeshwe na Abudhabi kiasi cha kama us 10b ili waweze kulipa madeni sijui pesa za kujenga mji huu zitatoka wapi mafuta hawana!