Thursday, February 11, 2010

Mkoba John Terry apewa likizo fupi

kepteni wa Chelsea John Terry hatacheza mechi ya FA ya jumamosi,kwa sababu ya likizo fupi aliyopewa kutokana na tuhuma zinazomkabili hivi sasa
John amepewa siku chache za mapumziko,hatakuwemo kwenye kikosi kitakachoshuka jumamosi,mapumziko yatamruhusu Terry kuungana na mkewe,Toni Poole ambae amekimbilia Dubai kukacha usumbufu wa paparazzi

No comments: