Advertisements

Friday, June 10, 2011

Image
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda (kushoto), akimkaribisha Msajili wa Vyama Vya Siasa nchini, John Tendwa, kwenye makazi yake mjini Dodoma wakati wa hafla ya chakula cha jioni alichowaandalia viongozi wa vyama vya siasa vinavyounda Baraza la Vyama Vya Siasa. Kulia ni Isack Cheyo wa UDP. (Picha na Nicholaus Mmbaga- Ofisi ya Waziri Mkuu).

No comments: