WARATIBU WA MITINDO NITE 3 WANAPENDA KUWAARIFU WADAU WOTE WA UTAMADUNI WA MAVAZI YA KIBONGO KUWA WALE WANAMITINDO MAARUFU KUTOKA TANZANIA ALLY REHMTULLAH NA DIANA MAGESA WATASHINDWA KUHUDHURIA MITINDO NITE 3 KUTOKANA NA SABABU ZISIZOWEZA KUZUILIKA, SAMBAMBA NA HILO WANAPENDA KUWAARIFU KUWA WANAMITINDO WENGINE WOTE KUTOKA ETHIOPIA, GHANA, NIGERIA, MAREKANI N.K. BADO WATAONYESHA MAVAZI YAO KAMA ILIVYO PANGWA BILA KUSAHAU MAKAMUZI MAKALI YA MALKIA WA ZOUK HAFSA KAZINJA NA BENDI KAMILI IKIONGOZWA NA LOKASSA YA MBONGO NA NGOUMA LOKITO.
**MWISHO KIINGILIO KIMESHUSHWA NA SASA ITAKUWA $20**
KARIBUNI WOTE
1 comment:
tumeibiwaaaaa.. tokea mwanzo walikuwa wanajua kabisa ali na magesa hawatakuja..huu ni utapeli wa hali ya juu. lakini tutaenda kumsupport Maggie lol
Post a Comment