Tuesday, March 12, 2013

MAHOJIANO KATI YA DR. SLAA NA WPFW 89.3 FM RADIO YA WASHINGTON, DC SIKU YA JUMATANO


Dr. Wilbroad Slaa, amealikwa kwa mahojiano na WPFW Radio  ya Washington, D.C. U.S.A. siku ya jumatano March 13, 2013. Saa saba mchana, saa za Amerika ya mashariki ( 1pm U.S ET)/ Saa mbili usiku saa za Afrika mashariki (8pm East Africa time). 

Baadhi ya mambo yatakayo jadiliwa ni maswala ya siasa, kijamii, kiuchumi, amani na usalama wa Tanzania na mengineyo.

Bofya hapa kusikiliza WPFW radio live WPFW Radio 

No comments: